NA.
|
TAREHE NA SIKU
|
SHUGHULI HUSIKA NA
WIZARA
|
IDADI YA SIKU
|
|
1.
|
JUMATATU
11/6/2012
|
(i)
Briefing Session.
(ii)
Kikao cha pamoja cha Kamati ya Uongozi, Waziri Mkuu,
Waziri wa Fedha na Waziri wa Mahusiano na Uratibu.
|
Siku 1
|
|
2.
|
JUMANNE
12/6/2012
|
Mkutano
wa Bunge kuanza kwa shughuli zifuatazo.
(i)
Kiapo cha Uaminifu.
(ii)
Maswali.
(iii)
Vikao vya Kamati za Vyama vya Siasa.
|
Siku 1
|
|
3.
|
JUMATANO
13/6/2012
|
(i)
Maswali.
|
Siku 1
|
|
4.
|
ALHAMISI
14/6/2012
|
(i)
Maswali kwa Waziri Mkuu.
(ii)
Maswali ya Kawaida.
Asubuhi
(iii)
Waziri anayehusika na Mipango Kusoma Taarifa ya Hali ya
Uchumi.
Saa. 10 Jioni
(iv)
Waziri wa Fedha atasoma Hotuba ya Bajeti ya Serikali.
|
Siku 1
|
|
5.
|
IJUMAA
15/6/2012
|
MAPUMZIKO
|
Siku 1
|
|
6
|
JUMAMOSI
16/6/2012
|
UZINDUZI WA AWAMU YA NNE YA PROGRAMU YA
MABORESHO YA USIMAMIZI WA FEDHA ZA UMMA -PFMRP
|
Siku 1
|
|
7.
|
JUMATATU - ALHAMISI
18/6/2012 –
21/6/2012
|
MJADALA
KUHUSU BAJETI YA SERIKALI.
|
Siku 4
|
|
8.
|
IJUMAA
22/6/2012
|
Miswada ya Sheria ya Serikali.
(i)
The Finance Bill,
2012.
|
Siku 1
|
|
9.
|
JUMATATU - IJUMAA
25/6/2012 –
29/6/2012
|
·
HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU
·
SERA, URATIBU NA BUNGE.
·
UWEKEZAJI NA UWEZESHAJI.
·
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA.
|
Siku 5
|
|
10.
|
JUMATATU - JUMANNE
02/7/2012 -
03/7/2012
|
·
HOTUBA YA BAJETI OFISI YA RAIS
·
MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA.
·
UTAWALA BORA.
·
MAHUSIANO NA URATIBU.
|
Siku 2
|
|
11.
|
JUMATANO
04/7/2012
|
·
HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS
·
MUUNGANO.
·
MAZINGIRA.
|
Siku 1
|
|
12.
|
ALHAMISI - IJUMAA
05/7/2012 -
06/7/2012
|
·
HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA UJENZI
|
Siku 2
|
|
13.
|
JUMATATU - JUMANNE
09/7/2012 -
10/7/2012
|
·
HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MAJI.
|
Siku 2
|
|
14.
|
JUMATANO - ALHAMISI
11/7/2012 -
12/7/2012
|
·
HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII.
|
Siku 2
|
|
15.
|
IJUMAA
13/7/2012
|
·
HOTUBA
YA BAJETI YA WIZARA KATIBA NA SHERIA.
|
Siku 1
|
|
16.
|
JUMATATU -16/7/2012
|
·
HOTUBA
YA BAJETI YA WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA.
|
Siku 1
|
|
17.
|
JUMANNE- 17/7/2012
|
·
HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.
|
Siku 1
|
|
18.
|
JUMATANO - 18/7/2012
|
·
HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI
NA MICHEZO.
|
Siku 1
|
|
19.
|
ALHAMISI NA IJUMAA 19/7/2012-20/7/2012
|
·
HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA KILIMO, CHAKULA NA
USHIRIKA.
|
Siku 2
|
|
20.
|
JUMATATU -23/7/2012
|
·
HOTUBA YA BAJETI YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA
WATOTO
|
Siku 1
|
|
21.
|
JUMANNE NA JUMATANO
24/7/2012
-25/7/2012
|
·
HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA UCHUKUZI
|
Siku 2
|
|
22.
|
ALHAMISI –
26/7/2012
|
·
HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA
TEKNOLOJIA
|
Siku 1
|
|
23.
|
IJUMAA- 27/7/2012
|
·
HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA
|
Siku 1
|
|
24.
|
JUMATATU- JUMANNE
30/7/2012
-31/7/2012
|
·
HOTUBA YA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII.
|
Siku 2
|
|
25.
|
JUMATANO – ALHAMISI
01/8/2012 –
02/8/2012
|
·
HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA NISHATI NA MADINI.
|
Siku 2
|
|
26.
|
IJUMAA -03/8/2012
|
·
HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA USHIRIKIANO WA AFRIKA
MASHARIKI.
|
Siku 1
|
|
27.
|
JUMATATU –
06/8/2012
|
·
HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA
USHIRIKIANO WA KIMATAIFA.
|
Siku 1
|
|
28.
|
JUMANNE - 07/8/2012
|
·
HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA KAZI NA AJIRA.
|
Siku 1
|
|
29.
|
ALHAMISI – IJUMAA
09/8/2012 –
10/8/2012
|
·
HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI.
|
Siku 2
|
|
30.
|
JUMATATU – JUMANNE
13/8/2012 –
14/8/2012
|
·
HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA
MAENDELEO YA MAKAZI.
|
Siku 2
|
|
31.
|
JUMATANO – ALHAMISI
15/8/2012 –
16/8/2012
|
·
HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA
UFUNDI.
|
Siku 2
|
|
32.
|
IJUMAA – 17/8/2012
|
·
HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA
|
Siku 1
|
|
33.
|
JUMATATU -20/8/2012
|
·
SHUGHULI ZA SERIKALI
·
The Appropriation
Bill, 2012.
·
Statement of
Reallocation Warrants.
·
Treasury Notes
.
|
Siku 1
|
|
34.
|
JUMANNE NA JUMATANO
21/8/2012 –
22/8/2012
|
·
HOJA ZA WABUNGE
HOJA YA KUAHIRISHA
BUNGE.
|
||






0 comments:
Post a Comment