taifa stars yatutoa kimasomaso watanzania kwa kuweza wafunga gambia 2-1 kwenye mchezo ulio chezwa uwanja wa taifa tarehe 9-6-12.... ikiwa ni miongoni mwa matokeo ambayo watanzania wengi hawa kupata yatarajia kua yaweza kuibuka nao..... shukrani kwa TFF and wachezaji wa Taifa stars kwa ujumla .....do they will be motivated........
0 comments:
Post a Comment